KATIBA MPYA: Maaskofu mbalimbali wa Kikristo Tanzania watoa ujumbe!
Maaskofu wa Kanisa Katoliki TanzaniaMAASKOFU WOTE WA KANISA KATOLIKI TANZANIA WATOA UJUMBE MKALI;*Waiunga mkono tume ya Jaji Warioba na kutaka iheshimiwe,*Watetea Maoni ya Wananchi yaliyomo kwenye...
View ArticleMpaka muda huu Diamond Platnumz anaongoza kwa kura BET Award!
Msanii Diamond Platnumz wa Tanzania1. Diamond Platnumz (Tanzania) 63.06% 2. Mafikizolo (South Africa) 12.29% 3. Davido (Nigeria) 7.62% 4. Tiwa Savage (Nigeria) 7.61% 5. Sarkodie (Ghana) 5.29% 6. Toofan...
View ArticleIt's a shame that these posts can't be filled by Tanzanians!
Dear Colleagues in development, A program is about to start in Tanzania, funded by Bill Merinda Gate Foundation, for transformation of the agricultural industry. However, the Senior Program Officer /...
View ArticlePigo tena katika tasnia ya Bongo Movie: George Tyson afariki!
Marehemu George Tyson alipokuwa akiongea na kituo cha EATV enzi za uhai wake.Ni pigo tena kwa tasnia ya Bongo Muvi, mwongozi filamu Bongo na aliyekuwa mume wa staa wa filamu za Kibongo, Yvonny Cherry...
View ArticleBreaking News: Mama mzazi wa Zitto Kabwe afariki dunia!
Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania, (Chawata), Shida Salum ambaye pia ni ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema ambaye ni mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe.Mama mzazi...
View ArticleUlokole umekuja kuuimarisha au kuuvuruga ukristo??!!
Pichani ni walokole ambao kwa Imani yao waliambiwa na Mchungaji wao kwamba wakila majani watakuwa karibu na Mungu.Nakumbuka wakati nikiwa na miaka 7 na kuendelea kulikuwa na madhebebu kama manne...
View ArticleVazi la taifa la Tanzania, yapi maoni yako?!
Baada ya mchakato wa muda mrefu wa upatikanaji wa vazi rasmi la Mtanzania kusuasua na kuonekana wazi kwamba upatikanaji wake umeshindikana na hakuna jitihada zozote kuntu zinazofanywa na seriakali...
View ArticleMabomu Arusha hali ni tete!
•Zaidi ya watu8 wadhaniwa kuuawa na wengine kujeruhiwa. •Ni katika mgahawa wa kihindi ujulikanao kama Vama Restaurant uliopo maeneo ya Gymkhana. •Bomu jingine lakutwa limetegwa nyumbani kwa mkuu wa...
View ArticleHuyu ndiye waziri jangili!!
Apachikwa majina ya utani, buibui au pweza..Ni kwa umahiri wake kuunganisha majangili..WAZIRI aliyeukwaa wadhifa huo katika mabadiliko ya mwisho ya Baraza la Mawaziri yaliyofanyika mapema mwaka huu,...
View ArticleInatisha: Mabaki ya miili ya binadamu yakutwa Kichakani Dar!
Mabaki ya miili ya watu zaidi ya 100 imekutwa katika msitu mdogo uliopo eneo la Mpiji, kata ya Mbweni, wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, ikiwa imetelekezwa.Mabaki hayo ya miili yalionekana...
View ArticleMatokeo ya usaili Uhamiaji: 90% ni Watoto na Ndugu wa wafanyakazi wa Uhamiaji!
Matokeo ya Usaili wa nafasi za kazi Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti mbalimbali mwezi Julai, 2014 yameonesha kuwa katika dara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa wafanyakazi wa...
View ArticleMke wa Mbunge Dr Cyril Chami adaiwa kumuua "Housegirl"
Mfanyakazi wa ndani wa mbunge wa Jimbo la Moshi vijijini Cyril Chami (CCM) aitwaye Mariam Said (16) amefariki dunia mapema alfajiri ya leo ikiaminika kwabmba kifo chake kimesababishwa na kipigo toka...
View ArticleWaziri wa atajwa njama za kumuua Dk. Slaa na Mnyika!
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele.Hali ya kisiasa nchini imezidi kuwa tete baada ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele, kuhusishwa katika njama za kutaka kumuua...
View ArticleHii ndio Video ya mpango wa usaliti na hujuma kwa CHADEMA!
Video ya mpango wa Usaliti na Hujuma kwa CHADEMA uliokuwa unapangwa na viongozi wa waandamizi wa CCM na ACT Tanzania umefichuliwa. Hakuna siri tena.Kuangalia Video hiyo Bofya link hii...
View ArticleTetesi: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya/jimbo la TMK kukabidhiwa kadi...
Bwn. Patrick Yohana JosephTetesi ambazo Blog ya Maisha Times imezipata muda mfupi uliopita zinarepoti kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya/jimbo Temeke, Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Temeke,...
View ArticleKula Machungwa na Zabibu kunapunguza uwezekano wa kupata kiharusi (Stroke)
Utafiti huo uliangalia faida za matunda chachu (Citrus Fruit)pekee kwa mara ya kwanza tofauti na tafiti nyingi ambazo tumezizoea zinazoangalia umuhimu wa matunda na mboga za majani kwa afya...
View ArticleTatizo la Unene Uliopitiliza (Obesity) na kinga yake!
Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi na inayokubalika ya kuweza kugundua kama mtu ni mnene kupita...
View ArticleJeshi la Polisi laendeleza vipigo kwa Waandishi wa habari!
Askari wa Jeshi la Polisi wa kuzuia ghasia wakiwazuia kwa mbwa Waandishi wa habari kufanya kazi yao.Askari wa Jeshi la Polisi wa kuzuia ghasia wakimpa kipigo cha mbwa mwizi Mwandishi wa habari Bwn....
View ArticleUKAWA wanasa waraka wa siri wa ikulu kuingilia mchakato wa katiba!
Viongozi wa vyama vinavyounda umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umeibua maeneo yanayoongeza mgogoro kwenye mchakato wa Katiba inayopendekezwa, ukieleza kuwa...
View ArticleSamson Mwigamba atimuliwa uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa...
Katibu Mkuu wa ACT- Tanzania Samson Mwigamba (Katikati)Katibu Mkuu wa ACT- Tanzania Samson Mwigamba amesimamishwa uongozi ndani ya chama hicho kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili,kuvunja katiba na...
View ArticleSakata la ESCROW: Ripoti inaonyesha Vigogo zaidi ya 50 watakumbwa na gharika.
Dar/Dodoma. Moto wa kashfa ya ufisadi katika akaunti ya Tegeta Escrow unaoendelea kuwaka bungeni, sasa unaonekana kugeuka gharika inayoweza kuwakumba vigogo wengi zaidi na kuiweka Serikali ya Rais...
View ArticleHOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA MHE. EDWARD LOWASA!
HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUUJangwani-Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015Ndugu Wana Dar es salaam na...
View Article