Quantcast
Channel: Maisha Times
Browsing all 209 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

-§-CHADEMA yafunika vibaya Karatu na Kahama..!i..

Sehemu ya Wananchi waliojitokeza kuhudhuria Mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA]huko Karatu. Mweenyekiti wa CHADEMA Taifa na Mbunge wa Hai Mh. Freeman Mbowe akiwahutubia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HappY NeW YeaR 2013..!i..

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

-§- Msanii Sajuki afariki dunia..!i..

Marehemu Juma Kilowoko "Sajuki" Staa wa filamu za Kibongo, Juma Kilowoko "Sajuki" amefariki dunia leo alfajiri katika hospital ya taifa ya Muhimbili alikokuwa akitibiwa. Kwa mujibu wa katibu wa chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

-§- Mvua Mkoani Singida zaharibu vibaya barabara ielekeayo Mwanza..!i..

Mvua zilizonyesha jana Mkoani Singida zimeharibu vibaya barabara ya kuelekea Mwanza. Wakati ukaranati hafifu wa sehemu za barabara hiyo zilizokumbwa na uharibifu huo ukiendelea mpaka sasa shughuli zote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sakata la Gesi ya Mtwara: Serikali yaidanganya IMF vigezo vya kukopa China...

Hatimaye Serikali ya Tanzania imekiri kuidanganya IMF kwa kulazimisha kukopa kutoka EXIM Bank China fedha za kujengea bomba lenye utata la kusafirishia Gesi ya Mtwara na Lindi hadi DSM. Katika barua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS! Jengo la "PPF Tower" Posta mpya- Dsm linaungua moto!

Jengo refu la "PPF Tower" ambalo linaungua moto muda huu, vyombo husika vya zimamoto vinaendelea na jitihada za kuuzima moto huo. Chanzo cha moto huo hakijaweza kujulikana mara moja.

View Article

BREAKING NEWS! Moto unateketeza Maduka katika kituo cha Mabasi-Mwenge!

Habari za kuaminika zilizoifikia Maisha Times hivi punde zinaripoti kwamba maduka kadhaa ndani ya kituo cha mabasi- Mwenge jijini Dar es salaam yanateketea kwa moto, habari hii ni ya hivi punde na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA wamuwakia Spika Makinda!

  Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa  Wakati Spika wa Bunge, Anne Makinda akitangaza kufutwa kwa hoja zote binafsi za wabunge kutokana na vurugu zilizotokea bungeni juzi na jana, Chadema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA: Askofu Mstaafu Amedeus Msarikie afariki dunia leo alfajiri!

Askofu mstaafu wa kanisa katoliki jimbo la moshi Amedeus Msarikie aliyefariki leo alfajiriAsubuhi ya leo imeripotiwa kuwa Askofu Mstaafu wa Kanisa Katoliki jimbo la Moshi Amedeus Msarikie amefariki leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini amefariki dunia!

Kwa mujibu wa Radio Upendo FM, baba Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini ametutoka hivi punde.Pichani: Askofu Thomas Leizer, katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa chumba cha uangalizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

-}i{- Breaking News! Pope Benedict amejiuzulu wadhifa wake!

 Kiongozi wa kanisa katoliki Duniani Pope Benedict Habari za kuaminika zilizoifikia Maisha Times zinaripoti kwamba Kiongozi wa kanisa katoliki Duniani Pope Benedict ametangaza uamuzi wake wa kutaka...

View Article

Breaking News! Padri auawa kwa kupigwa risasi Zanzibar

Taarifa zilizoifikia Maisha Times Blog hivi sasa zinaripoti kwmba Padri Mushi ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Zanzibar, Evarist Mushi amefariki dunia baada ya kupigwa risasi saa 1.00...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utabiri wa kutokea kwa "Vita" Tanzania katika siku za Usoni!

Natabiri "Civil War" kutokea Africa ndani ya miaka michache ijayo na kuiathiri zaidi nchi ya Tanzania ambayo ndiyo haswa inayogombewa na nchi tajiri kutokana na wingi wa rasilimali zake zenye utajiri...

View Article


-}i{- Sheikh Ilunga: Wauweni Maaskofu na Mapadri!

Sheikh Ilunga HassanJuu, Sheikh Ilunga Hassan akiwahamasisha waumini wa imani ya Kiislam kuwaua Viongozi wa imani ya Kikristo "Maaskofu na Mapadri" hamasa ambayo imezaa matunda katika siku chache...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEKUWA AKITAPELI WATU MTANDAONI KWA JINA LA RAFIKIELIMU AJULIKANA!

Hashim  Mkane,  mwenye  namba 0765283703  tapeli  wa  mtandaoni, aliyewatapeli  makumi  ya  wananchi  kwa  jina  la  RafikiElimu  akiwahadaa  kuwapatia  kazi  katika  taasisi  mbalimbali. Habari kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIRI ya kutekwa Kibanda, Video ya Lwakatare yazidi kufichua mengi!

Hatimeye siri ya kutekwa, kuteswa na kunyofolewa kuchwa kwa Mhariri Mtendaji wa magazeti ya New Habari, Absolom KIbanda na unaoitwa mkanda wa video wa Willifred Lwakatare, imefichuka rasmi.Kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Membe akanusha tuhuma za kuhusika kumdhuru Kibanda!

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe Afisa Mtendaji Mkuu wa Magazeti ya Habari Corporation Hussein Bashe Afisa Mtendaji Mkuu wa Magazeti ya Habari Corporation Hussein...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tofauti kati ya mikutano ya CHADEMA na CCM ni hii!

MIKUTANO YA CHADEMAMIKUTANO YA CCM 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ben Saanane aanika njama chafu za UVCCM & CCM kukihujumu CHADEMA!

  Ben Saanane Chanzo: Group ya CHADEMA vs CCM  http://www.facebook.com/groups/cdmccm/525124697547140/?notif_t=group_comment_replyNiliwaonya hawakusikia.Wameenda mbali kuanzisha kundi STOP BEN SAANANE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News: Serikali imefuta rasmi matokeo yote ya kidato cha nne mwaka 2012!

Serikali imetangaza kuanzia leo kufuta rasmi matokeo yote ya kidato cha nne mwaka 2012 na mitihani yote itasahihishwa upya kwa kutumia utaratibu ule uliotumika katika kusahihisha matokeo ya mwaka 2011....

View Article
Browsing all 209 articles
Browse latest View live