$ 0 0 Jengo refu la "PPF Tower" ambalo linaungua moto muda huu, vyombo husika vya zimamoto vinaendelea na jitihada za kuuzima moto huo. Chanzo cha moto huo hakijaweza kujulikana mara moja.