Quantcast
Channel: Maisha Times
Viewing all articles
Browse latest Browse all 209

Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini amefariki dunia!

$
0
0
Kwa mujibu wa Radio Upendo FM, baba Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini ametutoka hivi punde.

Pichani: Askofu Thomas Leizer, katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa chumba cha uangalizi maalum (ICU) katika Hospitali ya Selian Hospital Arusha Centre. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe. Picha hii ilipigwa Tarehe 3 Februari 2013, ambapo viongozi wa CHADEMA [Mbowe na Lema] walifika kumjulia hali, baada ya kuugua kwa muda mrefu na kulazwa.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 209

Latest Images

Trending Articles