Quantcast
Channel: Maisha Times
Viewing all articles
Browse latest Browse all 209

Breaking News! Padri auawa kwa kupigwa risasi Zanzibar

$
0
0
Taarifa zilizoifikia Maisha Times Blog hivi sasa zinaripoti kwmba Padri Mushi ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Zanzibar, Evarist Mushi amefariki dunia baada ya kupigwa risasi saa 1.00 asubuhi na kufariki kabla hajafikishwa katika hospitali ya Minazi Mirefu. Paroko huyu amepigwa risasi muda wa saa moja asubuhi wakati akiwa anashuka kutoka katika gari lake kwenda kuendesha ibada ya asubuhi hii.

Kwa ukimya huu wa Serikali dhidi ya wimbi la Waumini wa Imani ya Kikristo na Viongozi wao kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa achilia mbali kuuwawa hapo ni bado tabia ya Kuchomewa nyumba zao za ibada/makanisa katika sehemu mbalimbali nchini je, tukisema Serikali-kwa ushirikiano na Vyombo husika inawaunga mkono vitendo hivyo tutakuwa tunakosea..??..

Viewing all articles
Browse latest Browse all 209

Latest Images

Trending Articles